dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, April 8, 2016

Mkutano wa ufuatiliaji habari za uchaguzi wafanyika Mtwara

MTANGAZAJI wa Clouds Fm kutoka mkoani Kilimanjaro, Beatrice akielezea changamoto na namna walivyokabiliana navyo mkoani humo, wakati wa uchaguzi mkuu mwaka jana, kwenye mkutano wa siku mbili wa ufuatiliaji wa habari za uchaguzi, uliofanyika Mkoani Mtwara na kuandaliwa na shirika la internews (picha na Haji Nassor alipokuwa Mtwara).

MWANDISHI wa habari wa gazeti la Nipashe kutoka Zanzibar, Rahma Suleiman akifafanua jambo, kwenye mkutano wa siku mbili wa ufuatiliaji wa habari za uchaguzi, uliofanyika Mkoani Mtwara na kuandaliwa na shirika la internews (picha na Haji Nassor alipokuwa Mtwara).


AKINAMAMA wauza korosho kutoka mkoani Mtwara Tanzania bara, wakiwahudumiwa wateja wao katika eneo la Bima katikati ya manispaa ya Mtwara, ambapo bei ya korosho ni kati ya shilingi 1000 na shilingi 20,000 kwa ujazo wa kilo moja, (picha na Haji Nassor alipokuwa Mtwara).


AKINAMAMA wauza korosho kutoka mkoani Mtwara Tanzania bara, wakiwahudumiwa wateja wao katika eneo la Bima katikati ya manispaa ya Mtwara, ambapo bei ya korosho ni kati ya shilingi 1000 na shilingi 20,000 kwa ujazo wa kilo moja,(picha na Haji Nassor alipokuwa Mtwara).

No comments :

Post a Comment