Top Leaderboard Advert

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Zanzibar Diaspora

High class shops @ Fuoni

High class shops @ Fuoni

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Adsense Marquee

Tuesday, April 5, 2016

Rais Magufuli amuaga Raila Odinga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono kuashiria kuagana na wageni wake, Raila Odinga pamoja na Mkewe Ida Odinga waliofika Chato juzi kwa ajili ya mapumziko na kumpongeza Mhe. Rais.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Bi Ida Odinga, huku Raila Odinga akiagana na Mama Janeth Magufuli katika uwanja wa Shule ya Sekondari ya Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Raila Odiga, Ida Odinga pamoja na Mkewe mama Janeth Magufuli katika uwanja wa Shule ya Sekondari ya Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia watoto aliwakuta kwenye uwanja wa Mazaina Chato mkoani Geita.

(PICHA NA IKULU)


No comments :

Post a Comment