dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, September 20, 2016

Dk Shein afanya ziara kutembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa sehemu mbalimbali mjini Unguja!

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Idara ya Uvuvi katika Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Nd,Mussa Aboud Jumbe Mwinyi wakati alipotembelea Eneo lilatakalojengwa Soko la samaki,Malindi Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]19/09/2016.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiuliza suala kwa Mkurugenzi wa Shirika la Bandari Kapteni Abdalla  Juma (mwenye kipaza sauti) wakati alipotembelea Eneo la chelezo Malindi wakati akiwa katika ziara maalum ya kutembelea  lilatakalo jengwa Soko la samaki,Malindi Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]19/09/2016.
 Baadhi ya Akina Mama wanaofanya bishara ya kuuza chakula katika maeneo ya Bandari ya majahazi wakimuangalia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) na Ujumbe wake  wakati alipofanya ziara ya kutembelea maeneo hayo leo,[Picha na Ikulu.]19/09/2016. 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati  pichani) akiwa na ujumbe aliofuatana nao wakati alipotembelea katika  maeneo ya Bandari ya majahazi alipofanya ziara ya kutembelea maeneo hayo leo,[Picha na Ikulu.]19/09/2016.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na Msimamizi Mkuu wa mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Bwawani (STONE TOWN VILLAGE LTD) Syed Mansour Hussein alipotembelea ujenzi wa Hoteli hiyo leo, [Picha na Ikulu.]19/09/2016.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akiagana na  Msimamizi Mkuu wa mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Bwawani (STONE TOWN VILLAGE LTD) Syed Mansour Hussein alipotembelea ujenzi wa Hoteli hiyo leo, [Picha na Ikulu.]19/09/2016. 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ pia Mshauri wa Rais Mambo ya Uchumi Mzee Abdulrahman Mwinyi Jumbe wakati akiangalia ramani za ujenzi na kutembelea Eneo litakalojengwa Ofisi za Benki ya Watu wa Zanzibar Malindi Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]19/09/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiagana na Viongozi baada ya  kutembelea Eneo litakalojengwa Ofisi za Benki ya Watu wa  PBZ  Malindi Mjini Unguja leo.
[Picha na Ikulu.]19/09/2016.

No comments :

Post a Comment