Mlevi alipanda daladala..
*Konda*... akamwambia tabia yako ya ulevi huwezi kuenda *PEPONI*...
*Mlevi* huku akiwa chakari wala hajitambui, akajibu, kumbe mnakuenda *PEPONI*...😳 nishusheni mimi nakuenda *KARIAKOO*
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
No comments :
Post a Comment