Top Leaderboard Advert

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Zanzibar Diaspora

High class shops @ Fuoni

High class shops @ Fuoni

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Adsense Marquee

Saturday, September 10, 2016

Maandalizi ya Sala ya idd el Hajj na Baraza laa la Idd kitaifa yakamilika Mkoani, Pemba!

Mwenyekiti wa Kamati ya Swala ya Idd - el haj Kitaifa , Abdul Suleiman Mpechi,akiwaonesha wajumbe wa kamati ya Swala ya Iddi na Baraza la Idd, Uwanja ambao unatarajiwa kuswaliwa Swala ya Idd -el-Haj Kitaifa mwaka huu 2016 huko Mkoani Pemba.

Mwenyekiti wa Kamati ya Swala ya Idd - El - Haj Kitaifa , Abdul Suleiman Mpechi,akiwaonesha wajumbe wa kamati ya Swala ya Iddi na Baraza la Idd, Uwanja ambao unatarajiwa kuswaliwa Swala ya Idd-el Haj Kitaifa mwaka huu 2016 huko Mkoani Pemba.

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Mwanajuma Majid Abdalla, akizungumza jambo kwa wajumbe wa kamati ya Swala ya Idd-El-Hajj Kitaifa, juu ya matayarisho ya Swala hiyo huko katika Skuli Mpya ya Mkanyageni eneo ambalo linatarajiwa kufanyika Baraza la Iddi Kitaifa.

Wajumbe wa Kamati ya Swala ya Idd -El-Hajj Kitaifa, wakimsikiliza Katibu wa kamati hiyo ambae pia Waziri wa nchi Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na utawala 
bora, Haruna Ali Suleiman.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria , Utumishi wa Umma na Utawala bora ambae pia ni Katibu wa Kamati hiyo , akizungumza jambo kuhusiana na matayarisho ya Swala na Baraza la Idd yanavyoendelea katika Wilaya ya Mkoani -Pemba.


Picha na Hanifa Salim -Pemba.

No comments :

Post a Comment