dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, September 8, 2016

Mkutano wa 17 wa Viongozi wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,John Pombe Magufuli (kushoto) akifungua Mkutano wa 17 wa Viongozi wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC)katika ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam leo jioni,[Picha na Ikulu.] 08/09/2016.
Baadhi ya warishiki katika mkutano wa 17 wa Viongozi wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC) wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,John Pombe Magufuli (hayupo pichani) alipokuwa akiugungua mkutano huo leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam,[Picha na Ikulu.] 08/09/2016.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto ) akizungumza kutoa salamu zake katika mkutano wa 17 wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki EAC uliofanyika leo Ikulu ya Dar es Salaam,[Picha na Ikulu.] 08/09/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,John Pombe Magufuli leo kabla ya kuanza kwa kikao cha 17 cha Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC) katika ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam leo jioni,[Picha na Ikulu.] 08/09/2016.

No comments :

Post a Comment