dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, September 24, 2016

Rais Dk Shein mgeni rasmi Kilele cha sherehe za Elimu bila ya malipo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma wakati alipodhuria katika Maadhimisho ya miaka 52 ya Elimu Bila malipo sherehe zilizofanyika leo Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 23/09/2016.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikaribishwa na Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Bi Khadija Bakari mara alipowasili katika Maadhimisho ya miaka 52 ya Elimu Bila malipo, sherehe zilizofanyika leo Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 23/09/2016.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Balozi Seif Ali Iddi mara alipowasili katika Maadhimisho ya miaka 52 ya Elimu Bila malipo, sherehe zilizofanyika leo Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 23/09/2016.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakiwa katika sherehe zaa maadhimisho ya miaka 52 ya Elimu Bila malipo zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 23/09/2016.
Naibu Waziri wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Nd,Mmanga Mjengo Mjawiri (katikati) pamoja na Viongozi mbali mbali wakiwa katika sherehe za miaka 52 ya Elimu bila Malipo zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studum Mjini Unguja,mgen rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani), [Picha na Ikulu.] 23/09/2016.

Walimu wa Skuli mbali mbali za Unguja na Pemba wakiwa katika sherehe za miaka 52 ya Elimu bila Malipo zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studum Mjini Unguja,mgen rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani), [Picha na Ikulu.] 23/09/2016.

Baadhi ya wanafunzi waliohudhuria katika maadhimisho ya sherehe za miaka 52 ya Elimu bila Malipo zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studum Mjini Unguja,mgen rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani), [Picha na Ikulu.] 23/09/2016.

Wanafunzi wa Skuli ya Mwanakwerekwe D,wakiwa katika maandamano ya sherehe za Elimu bila Malipo zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studum Mjini Unguja,mgen rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),na kuhudhuriwa na wananchi mbali mbali, [Picha na Ikulu.] 23/09/2016.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwapungia mkono wanafunzi wa Skuli mbali mbali za Unguja na Pemba waliopita mbele ya Jukwaa kubwa katika uwanja wa Amaan Studium kwa maandamano wakati wa sherehe za Elimu Bila Malipozilizofanyika leo, [Picha na Ikulu.] 23/09/2016.
Wanafunzi wa Skuli ya SOS wakiwa katika maandamano wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 52 ya Elimu Bila Malipo, zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja, [Picha na Ikulu.] 23/09/2016.

Wanafunzi wanawake wa Skuli ya Ben Bella Secondary wakiwa katika maandano kusherehekea miaka 52 ya Elimu bila Malipo sherehe zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, [Picha na Ikulu.] 23/09/2016.

Wanafunzi wa Skuli za Mkoa wa Mjini Magharibi wakibeba bango lilalotoa ujumbe kumpa “heko Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kwa kuimarisha Elimu na Michezo”wakati wa maandamano ya kusherehekea maadhimisho ya miaka 52 ya Elimu bila Malipo,sherehe zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja, [Picha na Ikulu.] 23/09/2016.

Wanafunzi wa Skuli za Mkoa wa Kaskazini Pemba wakiwa katika maandano kusherehekea miaka 52 ya Elimu bila Malipo sherehe zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, [Picha na Ikulu.] 23/09/2016.


Watoto wa Maandalizi wakiwa katika mashindano mbio za Riadha wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 52 ya Elimu bila malipo katika Uwanja wa Amaan Studium leo,[Picha na Ikulu.]23/09/2016.

Watoto wa Maandalizi wakiwa katika mashindano mbio za magunia wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 52 ya Elimu bila malipo katika Uwanja wa Amaan Studium leo,[Picha na Ikulu.]23/09/2016.

Watoto wakicheza Ngoma aina ya Bomu wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 52 ya Elimu bila malipo katika Uwanja wa Amaan Studium leo,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]23/09/2016.

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma akitoa slamu zake na kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,kuzungumza na Walimu pamoja na Wanafunzi katika maadhimisho ya miaka 52 ya Elimu Bila malipo, sherehe zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]23/09/2016.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimvalisha medali Hassan Aswahi kutoka skuli ya Paje akiwa mshindi wa tatu katika mbio maalum za Vijiti(relay) mita 100x4 wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 52 ya Elimu bila malipo leo ,katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]23/09/2016.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi Kikombe Nd,Abdalla Makame Makame Afisa Elimu na Mfunzo ya Amali Mkoa wa Kusini Unguja wakiwa washindi kiujumla wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 52 ya Elimu bila malipo leo ,katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,(kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma,[Picha na Ikulu.]23/09/2016.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba yake wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 52 ya Elimu bila malipo leo ,katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja, [Picha na Ikulu.]23/09/2016.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba yake wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 52 ya Elimu bila malipo leo ,katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja, [Picha na Ikulu.]23/09/2016.

Waaalimu na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba yake wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 52 ya Elimu bila malipo leo ,katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja' 
[Picha na Ikulu.]23/09/2016.

No comments :

Post a Comment