Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe Khalid Salum Mohammed akiangalia na kupokea taarifa za ujenzi wa Ofisi ya Baraza la mji Chakechkae Pemba wakati alipotembelea jengo hili.
Picha na Haji Nassor, Pemba
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
No comments :
Post a Comment