Top Leaderboard Advert

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Zanzibar Diaspora

High class shops @ Fuoni

High class shops @ Fuoni

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Adsense Marquee

Sunday, October 9, 2016

KIMBUNGA MATTHEW, WATU 6 WAPOTEZA MAISHA, WATU 1.4 MILIONI HAWANA UMEME!

Hurricane Matthew Bears Down On Atlantic Coast Of Florida
Watu wakiondoa matawi na  miti iliyoangukia katikati ya daraja la Frederick ili wavuke kuelekea kisiwa cha Tybee kilichopo Savannah, Georgia siku ya Jumamosi Oktoba 8, 2016 baada ya kimbunga Matthew kilipopita mji huo kikiwa na upepo uliokua ikienda kwa maili 110 kwa saa ukiambatana na mvua kali na kusababisha madhara makubwa wakiwemo watu 6 kupoteza maisha Florida.
Hurricane Matthew Bears Down On Atlantic Coast Of Florida
Waokoaji wakipita na boti kwenye mitaa iliyofurika maji Savannah, Georgia siku ya Jumamosi Oktoba 8, 2016.
Hurricane Matthew Bears Down On Atlantic Coast Of Florida
Alama ya barabarani ikiwa imeanguka kutokana na upepo mkali wa kimbunga Matthew wakati kikipita katika mji wa Savannah jimbo la Georgia siku ya Jumamosi Oktoba 8, 2016.

Hurricane Matthew Bears Down On Atlantic Coast Of Florida
Wafanyakazi wa jiji wakiondoa mti ulioangukia barabara Savannah, Georgia siku ya Jumamosi Oktoba 8, 2016.
Hurricane Matthew Bears Down On Atlantic Coast Of Florida
Mti ulioangukia nyumba Savannah, Georgia siku ya Jumamosi Oktoba 8, 2016.
Hurricane Matthew Bears Down On Atlantic Coast Of Florida
Mtaa mmoja wapo Savannah, Georgia ukiwa umejaa maji yaliyosababishwa na kimbunga Matthew siku ya Oktoba 8, 2016.
Hurricane Matthew Bears Down On Atlantic Coast Of Florida
Larry Gerald akijichukua video katika mtaa wa S. Market mji wa Charleston, Carolina ya kusini siku ya Jumamosi Kimbunga Matthew kilipopiga mji huo na kusababisha wakazi 1.4 milioni kukaa gizani. Kimbunga Matthew kimesababisha watu 6 kupoteza maisha jimbo la Florida.
Hurricane Matthew Bears Down On Atlantic Coast Of Florida
Wakazi wa mji wa Charleston, Carolina ya Kusini wakiangalia madhara ya kimbunga Matthew siku ya Jumamosi Oktoba 8, 2016 baada ya kimbunga hicho kuacha madhara makubwa wakiwemo watu 1.4 milioni kukosa umeme.
Hurricane Matthew Bears Down On Atlantic Coast Of Florida
Mkazi wa mtaa Broad mji wa Charlestone akiwa amesimama kwenye ngazi akiangalia mafuriko kwenye mtaa huo yaliyosababishwa na kimbunga Matthew siku ya Jumamosi Oktoba 8, 2016 na kusababisha watu 1.4 milioni kukosa umeme.
Hurricane Matthew Bears Down On Atlantic Coast Of Florida
Mitaa ya mji wa Charleston, Carolina ya kusini ikiwa imejaa maji yaliyosababishwa na kimbunga Matthew siku ya Jumamosi Oktoba 8, 2016 na kusbabisha watu 1.4 milioni kukosa umeme.
Hurricane Matthew Bears Down On Atlantic Coast Of Florida
Mwendesha baiskeli akijaribu kupenya kwenye mtaa uliofurika maji kutokana na kimbunga Matthew siku ya Jumamosi Oktoba 8, 2016 katika mji wa Charleston, Carolina ya kusini na kusababisha watu 1.4 milioni kukosa umeme.
Hurricane Matthew Bears Down On Atlantic Coast Of Florida
Cindy Stayvery akiangalia madhara ya kimbunga Matthew mji wa Mt. Augustine, Florida siku ya Jumamosi Oktoba 8, 2016.
Hurricane Matthew Bears Down On Atlantic Coast Of Florida
watu wakiendesha baiskeli kwenye mtaa wenye uliojaa maji kutokana na kimbunga Matthew mji wa Jackosonville, Florida siku ya Jumamosi Oktoba 8, 2016. Picha kwa hisani ya Zimbio.

No comments :

Post a Comment