Top Leaderboard Advert

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Zanzibar Diaspora

High class shops @ Fuoni

High class shops @ Fuoni

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Adsense Marquee

Sunday, October 16, 2016

KUWA MWALIMU WA KISWAHILI MAREKANI NA HUKU MWENYEWE UNASOMA!

Image result for teach swahili in america images

Je, unao ndugu, jamaa, au rafiki yoyote mwenye degree na ni mwalimu wa lugha ya Kiswahili katika hii nchi yetu ya Tanzania? 
Kuna program hii ya Fulbright ambayo ni kwaajili ya walimu wa lugha ya Kiswahili kuenda Marekani kufundisha Kiswahili.
Chuo kitakulipia kuchukua degree ya pili katika fani yoyote ile. 

Please, wajulishe na wengine kuhusu hii program.


No comments :

Post a Comment