dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, October 15, 2016

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba azindua Ofisi ya mamlaka ya udhibiti wa huduma za Maji na Nishati ( ZURA) Tibirinzi, Pemba!

 MKUU wa Mkoa wa kusini Pemba Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla, akizindua Ofisi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) iliyopo Tibirinzi Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 NAIBU Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA), Hemed Salim Hemed, akifahamisha jambo Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe:Mwanajuma Majid Abdall, wakati alipokuwa akikagua Ofisi hiyo baada ya kuizinduwa rasmi Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 NAIBU Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA)Hemed Salim Hemed, akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla wakati alipokuwa akikagua ofisi hiyo ya ZURA Chake Chake Pemba, kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira Mhe:Ali Khalili Mirza.
(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MSOMAJI Utenzi maarufu Kisiwani Pemba Halima, akighani Utenzi katika hafla ya Uzinduzi wa Ofisi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA)iliyofanyika Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 WANANCHI mbali mbali wa Wilaya ya Chake Chake wakifuatilia kwa makini Uzinduzi wa Ofisi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA), Uzinduzi huo uliofanyika katika Ofisi hizo Chake Chake Pemba.
(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 NAIBU Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA), Hemed Salim Hemed akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Chake Chake mara baada ya uzinduzi wa ofisi hiyo.
(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA), Haji Kali Haji akitoa taarifa ya kitaalamu katika uzinduzi wa Ofisi ya mamlaka hiyo Mjini Chake Chake Pemba.
(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MWENYEKITI wa Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA), Mwalim A. Mwalimu akitoa salamu za bodi ya mamlaka hiyo wakati wa uzinduzi wa Ofisi hiyo huko Chake Chake .(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 KATIBU Mkuu wa Wizara ya Ardhi Maji Nishati na Mazingira Zanzibar Mhe:Ali Halil Mirza akizungumza na wananchi wa Chake Chake wakati wa uzinduzi wa ofisi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA)iliyopo Mjini Chake Chake Pemba.
(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 VIONGOZI mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, wakifuatilia kwa makini hutuba ya Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla, wakati alipokuwa akizungumza na wananchi wa Chake Chake katika uzinduzi wa Ofisi ya ZURA Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla, akizungumza na wananchi wa Chake Chake wakati wa Uzinduzi wa Ofisi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za maji na nishati Zanzibar (ZURA) mjini Chake Chake Pemba.
(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments :

Post a Comment