dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, October 1, 2016

Rais Dk Shein mgeni rasmi siku ya Wazee duniani!

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wa Chama na Serikali mara alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Karume Pemba alipohudhuria sherehe za siku ya kilele cha Wazee Duniani zilizofanyika wilaya ya Chake chake katika viwanja vya nje Uwanja wa Gombani Pemba,[Picha na Ikulu,] 01/10/2016.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Watendaji mbali mbali wa Serikali mara alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Karume Pemba leo alipohudhuria sherehe za Siku ya kilele cha Wazee Duniani zilizofanyika wilaya ya Chake chake katika viwanja vya nje Uwanja wa Gombani Pemba,[Picha na Ikulu,] 01/10/2016.

Baadhi ya Wazee waliohudhuria katika sherehe za Kilele cha Siku ya Wazee Duniani zilizofanyika leo katika viwanja vya nje Uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu,] 01/10/2016.

Baadhi ya Wazee kutoka Mikoa ya Pemba waliohudhuria katika sherehe za Kilele cha Siku ya Wazee Duniani zilizofanyika leo katika viwanja vya nje Uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu,] 01/10/2016.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wazee alipowasili katika sherehe za maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani zilizofanyika leo Wilaya ya Chake chake katika viwanja vya nje Uwanja wa Gombani Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu,] 01/10/2016.

Mwakilishi wa Wazee Bw.Salum Ali Mata akisoma risala ya Wazee katika sherehe za maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani zilizofanyika leo Wilaya ya Chake chake katika viwanja vya nje Uwanja wa Gombani Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu,] 01/10/2016.

Miongoni mwa Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar waliohudhuria katika sherehe za maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani zilizofanyika leo Wilaya ya Chake chake katika viwanja vya nje Uwanja wa Gombani Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu,] 01/10/2016.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea risala ya Wazee kutoka kwa Mwakilishi wa Wazee Bw.Salum Ali Mata aliyoisoma katikasherehe za maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani zilizofanyika leo katika viwanja vya nje Uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu,] 01/10/2016.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea taarifa ya Shirika la HELP AGE INTERNATIONAL Tanzania kutoka kwa Mkurugenzi Amleset Tewodoes mara baada ya kuisoma katika sherehe za maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani zilizofanyika leo katika viwanja vya nje Uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu,] 01/10/2016.

Waziri wa Kazi,Uwezeshaji Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Mhe,Mouldine Syrus Castico akitoa salam zake kwa Wazee pamoja na kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuzungumza na Wazee hao katika sherehe za maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani zilizofanyika leo katika viwanja vya nje Uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu,] 01/10/2016.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na Wazee katika sherehe za maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani zilizofanyika leo katika viwanja vya nje Uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba (kushoto) Waziri wa Kazi,Uwezeshaji Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Mhe,Mouldine Syrus Castico na Bw.Salum Ali Mata mwakilishi wa Wazee (kulia) 
[Picha na Ikulu,] 01/10/2016.

No comments :

Post a Comment