dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, November 10, 2016

MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA BUNGENI DODOMA LEO!

Spika wa Bunge, Job Ndugai akiwasihi wabunge kuwa na tabia ya kuheshimiana baada ya Mbunge wa Mbozi, Haonga kumwambia yeye amekula maharage gani kiasi kwamba hawaoni kuwapa nafasi ya kuchangia hoja wabunge wanaokaa nyuma.
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Watu Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama, akitangaza bungeni, Dodoma, kutengua baadhi ya kanuni ili mwili wa aliyekuwa Spika wa Bunge, marehemu Samuel Sitta uingie bungeni kwa ajili ya kuagwa na wabunge. Kulia ni Mwansheria Mkuu wa Serikali, George Masaju.
 Naibu Waziri wa Afya, Dk. Hamisi Kigangwalah akijibu maswali ya wabunge
 Mbunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Iringa, Ritta Kabati (kushoto) akiwa na Mbunge wa Viti Maalumu, Oliva.

 Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akizungumza na Mbunge  wa Newala Vijijini, George Mkuchika
 Naibu Spika, Dk. Tulia Akson akizungumza na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiku baada ya kusitisha Bunge kwa ajili ya mapumziko mchana wa leo.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Wabunge wakijadiliana jambo walipokuwa wakiingia bungeni Dodoma




 Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Rukwa, Bupe Mwakang'ata (kulia), akijadiliana jambo na Mbunge wa Viti Maalumu, Joyce Sokombi kwenye viwanja vya Bunge, Dodoma
 Wanafunzi wa Shule ya ADC NARCO ya wailayani Kongwa wakiwa bungeni Dododma kuona mwenendo wa bunge hilo



 Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Mashariki, Kolimba (kushoto) na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makaz, Anjelina Mabula wakiingia bungeni


No comments :

Post a Comment