Mwanamuziki Lady Gaga siku ya Jumanne Novemba 6,2016 akipnyesha bango mbele ya ya kikwangua cha Trump Tower New York kupinga Trump kuchaguliwa kuwa rais wa 45 wa Marekani.
Wamarekani wakiandamana mji wa New York kupinga ushindi wa Trump.
Wafuasi wa Hilary Clinton jijini New York wakiandamana kupinga Donald Trump kuchaguliwa kuwa Rais wa Marekani
No comments :
Post a Comment