dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, January 23, 2017

TAARIFA KUHUSU MAZIKO YA NDUGU YETU MAREHEMU HIJA AMEIR HAFIDH!


INNA LILLAHI WA INNA ILLAHI RAJIUN!

Assalaam alaykum warahmatullahi wabarakaatuh 

 Kwa niaba ya uongozi wa jumuiya ya kamati ya maziko ya Salaam Society of Bedfordshire tunapenda kukujulisheni ndugu zetu wote ya kuwa maziko ya ndugu yetu Hija Ameir Hafidh yatafanyika kesho siku 
ya 
Jumanne tarehe 24/01/2017.

Sala ya maiti itafanyika Queens Park
Saa 10:45am
Westbourne centre 
Westbourne Road 
MK40 4PQ

Maziko yatafanyika katika Cementry ya Bedford
Norse road cemetery
100-104 Norse road
Bedford 
MK41 0RL

Tafadhali sambaza ujumbe huu kwa wote watakaojaaliwa kuhudhuria maziko ya marehemu.

ZINGATIA SANA WAKATI!

No comments :

Post a Comment