Top Leaderboard Advert

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Zanzibar Diaspora

High class shops @ Fuoni

High class shops @ Fuoni

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Adsense Marquee

Monday, June 26, 2017

Baraza la Eid el Fitr lilivyofanyika Kikwajuni mjini Unguja!

Kikosi cha Jeshi la Poilisi FFU wakitoa salamu ya Hesma kwa ​Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati wa sherehe za Baraza la Eid el fitri katika viwanja vya Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja leo, katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akipokea salamu ya Heshma ya Gwarie maalum la Kikosi cha Jeshi la Poilisi FFU wakati wa Baraza la Eid el fitri katika viwanja vya Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja leo, katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi mara baada ya kuingia katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja leo wakati wa sherehe za Baraza la Eid el fitri kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanioa Mhe,Samia Suluihu Hassan mara baada ya kuingia katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja leo wakati wa sherehe za Baraza la Eid el fitri katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017. 
Nd,Hamdani Juma kutoka Jumuiya ya Wasomaji wa Tajweeed Zanzibar alipokuwa akisoma Quran Tukufu katika Sherehe za Baraza la Eid el fitri lililofanyika katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) aliopokuwa akitoa hutuba yake kwa Wananchi na Waislamu mbali mbali katika Sherehe za Baraza la Eid el fitri lililofanyika katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017. 
Baadhi ya Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi na Wananchi mbali mbali wakisikiliza Hutuba ya sherehe za Baraza la Eid el fitri iliyosomwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani ) katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017. 
Baadhi ya Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi Zanzibar na waisalamu mbali mbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani ) apokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe za Baraza la Eid el fitri iliyoisoma katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017. 
Baadhi ya Mabalozi wa Nchi za kigeni na wawakilishi wa mashirika mbali mbali na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani ) alipokuwa akitoa hutuba yake ya sherehe za Baraza la Eid el fitri iliyosoma katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017. 
Baadhi ya Wananchi na Waislamu walioalikwa katika sherehe za Baraza la Eid el fitri wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani )alipokuwa akisoma Khutba ya Baraza hilo katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017. 
Viongozi mbali mbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani ) akitoa Hutuba ya sherehe za Baraza la Eid el fitri katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017. 
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Mama Samia Suluhu Hassan (katikati) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mhe .Mama Fatma Karume na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe,.Ayoub Mohamed Mahmoud wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani ) akitoa khutba ya sherehe za Baraza la Eid el fitri aliyoisoma katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto ) alipokuwa akitoa khutba yake kwa Wananchi na Waislamu katika sherehe za Baraza la Eid el fitri aliyoisoma katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017. 
Baadhi ya Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi na Wananchi mbali mbali wakisikiliza Hutuba ya sherehe za Baraza la Eid el fitri iliyosomwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani ) katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017.

No comments :

Post a Comment