dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, July 23, 2017

WAZIRI UMMY AZINDUA ZAHANATI NGUVUMALI JIJINI TANGA!

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu katika akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Zahanati ya Kata ta Nguvumali leo kulia ni Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa na wa kwanza kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Said. 
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu katika akisisitiza jambo kwa Muuguzi wa Afya wa Zahanati ya Nguvumali baada ya kuizindua kushoto ni Mganga Mfawidhi wa Zahanati hiyo,Dkt Ally Bughe.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu akizungumza katika uzinduzi huo kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa na kulia ni Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj Mustapha Selebosi ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Nguvumali na wa kwanza kulia ni Mbunge wa Jimbo la Tanga(CUF)Alhaj Mussa Mbaruku.
Mbunge wa Jimbo la Tanga(CUF)Alhaj Mussa Mbaruku akizungumza katika halfa hiyo 
Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj Mustapha Selebosi ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Nguvumali akizungumza katika hadhara hiyo kulia ni Mbunge wa Jimbo la Tanga,Alhaj Mussa Mbaruku.
Mkurugenzi wa Jiji la Tanga,Daudi Mayeji akizungumza katika halfa hiyo 
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu akisalimiana na madiwani wa Jiji la Tanga mara baada ya kuwasili katika zahanati hiyo kushoto ni Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj Mustapa Selebosi.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu kushoto katikati ni Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj Mustapha Selebosi kulia ni Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku.Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu akipanda mti wa kumbukumbu mara baada ya kuzindua zahanati hiyo leo
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku akipanda mti kwenye zahanati hiyo mara baada ya kuzinduliwa na Waziri Ummy. 
Wananchi kutoka maeneo mbalimbali Jijini Tanga wakifuatilia uzinduzi huo
Waheshimiwa madiwani kutoka Kata mbalimbali Jijini Tanga wakifuatilia uzinduzi huo
 
Wananchi kutoka maeneo mbalimbali Jijini Tanga wakifuatilia uzinduzi huo
Msanii wa maigizo mkoani Tanga, Dkt Njau akionyesha umahiri wake katika uzinduzi huo

Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha

No comments :

Post a Comment