dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, August 11, 2017

Makamu wa Rais wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu afungua kongamano la Women Advancing Africa(WAA)!

Makamu wa Rais wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu akizungumza kwenye kongamano la wanawake la Women Advancing Africa (WAA)lenye lengo la kutatua changamoto na kuendesha maendeleo ya kiuchumi Afrika jana, Kongamano linaloendelea jijini Dar Es Salaam na kumalizika siku ya jumamosi. 
Makamu wa Rais wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu na Mama Graca Machel wakiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa kongamano la WAA.

No comments :

Post a Comment