dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, January 11, 2018

Makamu wa Rais Mama Samia ahudhuria msiba wa Said Abdallah Natepe!

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amekaa pamoja na Mama Siti Mwinyi mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili (kushoto) pamoja na Huda Karume mke wa Balozi Ali Karume kwenye msiba wa Bw. Said Abdallah Natepe aliwahi kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Utawala Bora.

(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Amaan Abeid Karume akiwasili Mazizini kuhudhuria msiba wa Said Abdallah Natepe.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Idd akiwasili Mazizini kuhudhuria msiba wa Said Abdallah Natepe.
Mwili wa marehemu Said Natepe ukiombewa dua baada ya kusaliwa kabla ya kwenda kupumzishwa
Mwili wa marehemu Said Natepe ukibebwa tayari kwenda kupumzishwa kwenye makaburi ya Mwakaje

No comments :

Post a Comment