dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, January 19, 2018

Saed Kubenea Aachiwa Huru na Mahakama na Kukamatwa Tena!

DODOMA: Mahakama ya Wilaya mapema leo imemuachia huru Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea(CHADEMA)

Hata hivyo Jeshi la Polisi limemkamata tena. Yadaiwa atafunguliwa mashtaka upya

Mbunge huyo kabla ya kuachiwa leo alikuwa akituhumiwa kwa kumshambulia kwa mateke, ngumi na makofi, Juliana Shonza(Mbunge wa Viti Maalum) ambaye kwasasa ni Naibu Waziri.

No comments :

Post a Comment