dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, April 14, 2018

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA UNICEF NA BALOZI WA JAPAN LEO!

 Makamu wa Rais akisalimiana na Mwakilishi wa UNICEF nchini Bi. Maniza Zaman aliyefika ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Makamu wa Rais akizungumza na Mwakilishi wa UNICEF nchini Bi. Maniza Zaman leo ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
 Makamu wa Rais akizungumza na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe.Masaharu Yoshinda ofisini kwa  Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) 
Makamu wa Rais akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe.Masaharu Yoshinda ofisini kwa  Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) ​

No comments :

Post a Comment