Top Leaderboard Advert

Zacadia Patreon

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Zanzibar Diaspora

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, June 12, 2018

Uhamiaji watoa Tahadhari na Onyo Kali kwa matapeli!

Wizara ya Mambo ya ndani, Idara ya Uhamiaji imeutaadharisha umma juu ya utapele kwa wateja wa pasipoti na kuepuka kutoa hela nje ya ada ya kawaida ili waweze kupata huduma hiyo. ambapo idara ya uhamiaji imesisitiza kuwa huduma yoyote inayohusu uhamiaji imewekwa kisheria na inalipiwa kwa njia ya benki au kwa njia ya simu kwa namba maalumu.

Hivyo idara hiyo imesisitiza kwa wananchi wote kufuata utaratibu uliowekwa na kuepuka kufanya malipo ya ada nje ya huduma alioomba mteja.

Vilevile idara hiyo imetoa onyo kali kwa wale wote wanaojihusisha na utapeli kwa njia yoyote, na kusisistiza kuwa kwa mtu yoyote ambae atabainika anafanya utapeli huo hatua kali za kisheria zitachukuliwa.No comments :

Post a Comment