dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, July 10, 2018

MWENYEKITI WA CCM RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM JIJINI DAR ES SALAAM!

Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu (CC) ya CCM kilichofanyika katika Ofisi ndogo za chama hicho Lumumba Jijini Dar es Salaam. 
Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na wajumbe wengine wa Kamati Kuu (CC) ya CCM mara baada ya kuwasili ukumbini kwa ajili ya kuongoza Kikao hicho kilichofanyika katika Ofisi ndogo za chama hicho Lumumba Jijini Dar es salaam. 
PICHA NA IKULU

No comments :

Post a Comment