dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, July 13, 2018

Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) latoa msaada wa dawa na vifaa vya tiba vyenye thamani zaidi ya Dola Milioni moja!

BAADHI ya Dawa na Vifaa Tiba vilivyotolewa na Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) kwa Wizara ya Afya Zanzibar.
MWAKILISHI wa Shirika la Afya Ulimwenguni Tanzania (WHO) Dkt. Adiele Onyeze akizungumza katika hafla ya Makabidhiano ya Dawa na Vifaa Tiba vilivyotolewa na Shirika la Afya Duniani kwa Wizara ya Afya Zanzibar katika hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Ngalawa Bububu Mjini Zanzibar.
NAIBU Waziri wa Affya Zanzibar Harus Said Suleiman pamoja na Mwakilishi wa WHO Tanzania Dkt. Adiele Onyeze wakitiliana saini makabidhiano ya Dawa na Vifaa Tiba kwaajili ya Wizara ya Afya Zanzibar katika hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Ngalawa Bububu Zanzibar. Dawa hizo zina thamani ya Us Dollars 1,164.635
NAIBU Waziri wa Affya Zanzibar Harus Said Suleiman akibadilishana hati za makabidhiano ya Dawa na Vifaa Tiba na Mwakilishi wa WHO Tanzania Dkt. Adiele Onyeze katika hafla iliyofanyika Hoteli ya Ngalawa Bububu Zanzibar.
NAIBU Waziri wa Affya Zanzibar Harus Said Suleiman akionesha kifaa cha kuchunguzia maradhi ya EBOLA, ( katikati) ni Mwakilishi wa Tanzania (WHO) Tanzania Dkt. Adiele Onyeze, kushoto Mkurugenzi kinga Wizara ya Afya Zanzibar Dkt. Fadhil Mohammed.

Picha na Abdalla Omar  Maelezo  - Zanzibar.

No comments :

Post a Comment