Top Leaderboard Advert

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Zanzibar Diaspora

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, August 12, 2018

Mgombea udiwani wa Chadema Arusha achomwa kisu!

Mgombea wa nafasi ya Udiwani kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Kata ya Kaloleni jijini hapa na msaidizi wake wamechomwa visu na kukatwa mapanga.

Kwa mujibu wa vyanzo jijini hapa, tukio hilo lilijiri usiku wa kuamkia jana kwenye kata hiyo ambapo watuhumiwa na tukio hilo hawakufahamika mara moja huku wakihusishwa na kikundi cha chama.Ilielezwa kuwa, mara baada ya kuvamiwa, wawili hao walichomwa visu kisha kukatwa mapanga ambapo hali zao zilikuwa mbaya huku mgombea udiwani akizirai.

Taarifa hizo zilithibitishwa na Polisi na kwamba zoezi la kuwasaka wahalifu linaendelea.
/Muungwana.

No comments :

Post a Comment