dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, November 11, 2018

Nyumba iliyotumika kumficha MO yafahamika!

Imeelezwa kuwa hii ndiyo nyumba inayodaiwa alifichwa mfanyabiashara Mohammed Dewji 'Mo' baada ya kutekwa katika hoteli ya Colosseum Oktoba 11 na kuachiwa Oktoba 20. Nyumba hiyo ipo mtaa wa Mwansasu, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.
Tutaendelea kukujuza zaidi juu ya taarifa za nyumba hiyo kwa kusubiria ripoti za Polisi. Endelea kuwa nasi.

No comments :

Post a Comment