ZANZIBAR NA MFUMO WA DIGITAL v.s Kampuni ya AGAPE
Written by Stonetown (Kiongozi) // 13/10/2012
Zanzibar imetangaza rasmi kuwa sasa inaingia katika mfumo wa matangazo ya digital ikifika December 31-2012. Hii ndio deadline.
Yaani wanatoka katika mfumo wa analog na ku-adopt mfumo wa teknolijia hii ya digital. Ni suala la lazima maana dunia nzima sasa is phasing out hiyo ‘old tech’ na kuingia digital.
Hii ni habari njema sana; na leo (0ctober 13-2012) Waziri wa Habari – said ali mbarouk amezindua rasmi mfumo huo.
Hata hivyo, inasikitisha sana kuona kuwa waliopewa kufanya kazi hiyo ni kampuni ya AGAPE, yenye makao makuu yake Dar.
Inasikitisha kwa sababu moja kubwa: hii ni kampuni ambayo ni sehemu ya mtandao wa makanisa makubwa duniani — kuna kitu kama ATN (channel hii mnaijua wote; maana yake ni AGAPE Television Network).
Nyie mnajua kusema saaana na kukataa muungano Salama Hall tu, hakuna strategic thinking. Sasa jamaa hawa wamekupateni mlango wa kutokea mbele!
Hivi kweli waziri, na SMZ haijui kampuni hii ni kitu gani? Hivi kweli tender imetolewa vipi, na kwa misingi gani, procurement zimefanywa vipi.
Habari nilizozipata zinasema kuwa ‘uongozi wa wizara, watu fulani fulani, they used delaying tactics’; kuwachelesha tender nyengine na at last, ile ya rush rush na kuwazawadia tender hawa AGAPE, kampuni ya mrengo wa dini ambayo wao wanauza vingamuzi (decoders) na tabaan zinakuwemo contents za dini.
SMZ ijiulize, vipi tender hii imetolewa na nani na nani wlaihusika, tumesikia hiyo inayoitwa 10%, 20% hapa. Bora pesa kuliko utu, kuliko hadhi ya Zanzibar, kuliko uislamu.
Someni kipande hichi hapa chini:
Welcome/Karibu
Welcome/Karibu
AGAPE MISSIONS TANZANIA exists to see Christ preached and Spirit-filled Pentecostal churches established in rural Tanzania. We are a Pentecostal non-denominational Christian organisation created with the sole aim of carrying out our Lord’s great commission of going and making disciples of all nations (Matthew 28:19).
JOIN US in carrying out our Lord’s great commission, and reach people in rural Tanzania. You too can be involved. For more information please
Our Vision
Spirit-filled churches in the entire rural Tanzania that are able to multiply and carry on the great commission of going out and making disciples of all nations.
11th ANNIVERSARY OF AGAPE TELEVISION NETWORK (ATN)
A group picture during Agape Television Network 11th Anniversary, at Agape Studios Jogoo Mbezi beach, tthe Anniversary was attended by the Hon. Halima Mdee, and Bishop Sylvester Gamanywa of Wapo Mission International.
Hii ni attachment ndogo tu, mnaweza kuingia na ku-search katika web for further details.
Binafsi nashindwa kujua Zanzibar hasa inataka nini kipindi hichi cha kuelekea kupata katiba mpya. Kuwa mambo kama haya yanafanyika, na yanapigiwa vigelele.
Nitakupeni mfano mwengine: wiki mbili zilizopita, zanzibar imezindua mfuko wa walemavu. Good idea, superb!
Hafla hii pamoja na wengine, mratibu mkuu alikuwa Maalim Seif (VP1 Office) as Idara ya Walemavu ipo chini yake. Nilishangaa sana kuona katika hafla hiyo, aliletwa mshereheshaji (MC) kutoka Tanganyika, mtoto mmoja wa kike anatangaza huko kwao somehow katika FM stations lakini yeye ni maarufu kutangaza ‘kitchen party’. Mtoto mmoja balala balaaa tu hivi, bazazi la kutupwa. Eti ndio anasimama katika hadhara ya wazanzibari na kusema anayotaka.
Wale akina Chimbeni Kheri wako wapi? Hivi kweli hata mtangazaji wa shughuli zetu wenyewe atoke Tanganyika; amelipiwa hoteli (first class, usafiri kwenda na kurudi kwa ndege) plus shopping…. si mmajua sisi kwa kujipendekeza.
Upuuzi kama huu bado unafanyika Zanzibar, tena kwa nguvu zaidi, ari zaidi, na kasi zaidi!
Tunasema nini, na tunakataa nini: tumekuwa kama mayahudi — yakuluna malatafaaluna!
Mimi ninaamini kwa trend hii ‘hatuipati Zanzibar Ng’o); tutabaki kupiga kelele pale Bwawani, na sijui ‘tuache tupumue, labda tutakwenda kupumua katika mashine ya ICU.
Leo Zanzibar hata semina ndogo au workshop facilitator mpaka atoke bara, hii ni lazima kama kufa na binadamu. Juzi alikuja mtaalamu mmoja eti anafundisha mambo ya ‘ujasiriamali’ (enterpreneurship) — amekuja kufundisha namna ya kufanya unga wa muhogo. Wallah niliona ajabu sana, maana ninavyojua mimi unga wa muhogo na ugali wa muhogo Zanzibar ndio kwao, makopa, almuradi sema upishi unaotaka hapa ndio NO.1
* Na msimamo wa Shein ni Serikali MBILI (someni hotuba yake aliyoitoa Amani katika uchaguzi wa CCM).
* Maalim Seif pekee ndiye anayetaka Mkataba; sijui nani amempa fikra hii. Si alikuwa anataka tatu huyu, mpaka akafukuzwa CCM, this is a ‘flip flop’.
* Maalim Seif pekee ndiye anayetaka Mkataba; sijui nani amempa fikra hii. Si alikuwa anataka tatu huyu, mpaka akafukuzwa CCM, this is a ‘flip flop’.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Chanzo: Mzalendo
No comments :
Post a Comment