dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, January 19, 2017

Meli ya kitalii yatia nanga Bandari ya Unguja!

Meli ya Kitalii ikiwa katika bandari ya Malindi Zanzibar ikifunga gati ikiwa na Watalii kutoka sehemu mbalimbali ya Dunia waliofika Zanzibar kutembelea Sehemu za Kitalii na Historia ya Zanzibar. Zanzibar ni moja ya Nchi zenye vivutio mbalimbali vya historia na kivutio cha Watalii wanaofika kutembelea Visiwa vya Unguja. Kama inavyoonekana pichani ikiwa katika bandari hiyo. 
KUIMAIRIKA Kwa Bandari ya Malindi Zanzibar, imekuwa ni kivutio kikubwa cha meli mbali mbali kufunga gati katika bandari hiyo, pichani Meli kubwa ya kitalii ikiteremsha watalii na kuweza kutembelea maeneo mbali mbali yenye vivutio vya kitalii.(Picha na Abdi Suleiman)

No comments :

Post a Comment