Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, February 11, 2017


1. Majani yake hutumika kama chai na kutibu kuharisha damu, mafua na husaidia mfumo wa umeng'enyaji wa chakula.

2. Mizizi yake huua minyoo kwa aina zake .

3. Mbegu hutengenezwa dawa ya kula na kufukuza wadudu waharibifu.

4. Tunda ni chanzo kikuu cha vitamin C , Iron, Niacin Riboflavin na asilimia 12% ya tunda hili ni sukari salama.

5. Tunda hili pia ni chakula,unaweza kutengeneza juice tamu kwa familia.

Ushauri
Mgonjwa wa saratani anapokuwa kwenye Tiba ya hospitali anashauriwa pia kula sana Stafeli ili kumpunguzia makali ya dawa za Saratani pamoja na kupunguza maumivu.
Tukumbuke maumivu ya saratani ni maumivu makali kuliko na wagonjwa wanapewa zile dawa kali sana za maumivu.
Matumizi ya tunda hili yatampunguzia mgonjwa madhara ya dawa.

Kwanini usilifanye tunda hili kuwa Rafiki kwako na familia yako?
Nashauri kila mmoja wetu apande mti japo mmoja wa tunda hili nakujipatia faida bila kutumia gharama kubwa ya kununulia, Miili yetu inahitaji tunda hili kwa wingi.

Stafeli majina yake mengine ni Soursop au Graviola.

No comments :

Post a Comment