Top Leaderboard Advert

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Zanzibar Diaspora

High class shops @ Fuoni

High class shops @ Fuoni

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Adsense Marquee

Wednesday, June 28, 2017

Maalim Seif: Haki ya Uchaguzi wa Zanzibar haitafika Miezi mitatu itapatikana!

Katibu  Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF amesema kuwa haki yake na ya wananchi wa Zanzibar kwenye uchaguzi wa  Oktoba 25 mwaka 2015, itapatika hivi punde na haitafika Miezi mitatu.
Maalimu Seif amesema hayo leo akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam .

Maalimu seif amesema kuwa hujuma zinazoendelea ni kutaka kupoteza haki ya wananchi wa Zanzibar itakayopatikana hivi karibuni.

"Nina uhakika kabisa tena sina wasiwasi hata kidogo kuwa haki itapatikana  hapa tulipofika ni mwenyezi mungu mwenyewe" amesema.

No comments :

Post a Comment