Top Leaderboard Advert

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Zanzibar Diaspora

High class shops @ Fuoni

High class shops @ Fuoni

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Adsense Marquee

Friday, June 30, 2017

Zitto Kabwe alia na Muswada wa Sheria ya Madini!

Kiongozi wa Chama Cha Act-Wazalendo Zitto Kabwe amesema kuwa  Muswada wa sheria wa Madini hauna afya ya kuulinda rasilimali zetu.

Zitto ameeleza kuwa kwenye muswada huo hakuna namna mzuri ya uwekezaji kwenye sekta hiyo hivyo hapatakuwa na maslahi mapana ya nchi.

"Kwenye sekta ya Madini hakuna uwekezaji kuna uvunaji. Ukielewa dhana hizi vizuri hautasumbuliwa na miswada inayopendekezwa"

No comments :

Post a Comment