dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, July 11, 2017

CUF Lipumba, CUF Maalimu Seif Wazichapa tena Mahakamani!



HALI ya Taharuki Kwenye Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeibuka leo wakati wafuasi wa pande wa Chama cha Wanachi (CUF) kukutana kwenye kesi zilizofunguliwa na bodi ya wadhamini ikidai ruzuku za chama hicho zilizodaiwa kuzuiliwa na Msajili wa vyama vya siasa Nchini.

Wafuasi hao waligawanyika kundi moja likiwa  upande wa katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Ahmad na wengine kuwa kwa Mwenyekiti wa Chama hicho Professa Ibrahimu Lipumba walishikana mashati na kurushina maneno mahakamani hapo.

No comments :

Post a Comment