Rais wa zamani, Abdulaye Wade(91) amerejea nchini humo akitokea Ufaransa ili atimize adhima yake ya kugombea Ubunge.
Wade anatarajia kugombea Ubunge katika Uchaguzi wa Julai 30, 2017. Rais Wade alipata upinzani ndani utawala wake mpka kuundwa kwa kundi linalojiita "tumechoka"
No comments :
Post a Comment