dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, August 11, 2017

RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU IKULU!

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu na Uongozi wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambacho kimejadili mambo mbali mbali ya kiutendaji
Mwenyekiti wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Maalim Kombo Hassan Juma (kushoto) alipokuwa akitoa maelezo na kuhusu Bodi yake wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),ambacho kilijumuisha Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,Bodi hiyo na Uongozi wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu,wengine Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe.Said Hassan Saidi (katikati) na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee
Mkurugenzi wa Idara ya Mikopo ya Elimu ya Juu puia Katibu wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Nd,Iddi Khamis Haji alipokuwa akitoa taarifa ya Uongozi wa Wizara ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wengine (katikati) Mwenyekiti wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Maalim Kombo Hassan Jumaakifuatiwa na Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe.Said Hassan Saidi.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Elimu Bi.Sada Thani (kulia) alipokuwa akitoa taarifa yake wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),ambacho kilijumuisha Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,Bodi hiyo na Uongozi wa Baraza la Elimu,wengine ni Wajumbe wa Bodi
Baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Mitihani wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani), alipozungumza nao wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja kilijumuisha Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,Bodi hiyo na Uongozi wa Baraza la Mitihani,
[Picha na Ikulu.] 10/08/2017.

No comments :

Post a Comment