dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, December 13, 2017

Kaka Jay - Nampenda Magufuli official video


Baada ya kufanya vizuri katika nyimbo kadhaa ikiwemo Tanzania na Viva Watanzania,Amani,Afrika, msanii Kaka Jay kutoka Kahama mkoani Shinyanga ameachia video mpya inaitwa Nampenda Magufuli. Video hii imeongozwa na Elisha Mabinda kutoka Mabinda Records ya mjini Kahama.Wasiliana na Kaka Jay kwa simu 0788190022. Tazama video ya Nampenda Magufuli hapa chini.

No comments :

Post a Comment