dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, August 14, 2020

MAOMBI YA HADHI MAALUMU KWA WANA-DIASPORA!

Kamati ya Hadhi Maalum iliyoundwa na Baraza la Diaspora la Watanzania Duniani (TDC GLOBAL) inafanya utafiti kutoka kwa Tanzania Diaspora. Lengo la utafiti huu ni kutayarisha maombi ya Hadhi Maalum kutoka kwa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Tafadhali jibu maswali machache yaliyoambatanishwa katika link hapo chini Ili kufanikisha zoezi la utafiti huu.


Sambaza ujumbe huu kwa Tanzania Diaspora wengine.

Tunatanguliza shukrani kwa ushirikiano wako.

Asanteni,

*Hadhi Maalum ni nini?*
Hadhi Maalumu ni sheria maalum itakayotungwa na serikali ya Tanzania kuwapa baadhi ya haki watu wote wanaoishi ughaibuni wenye asili na nasaba ya Tanzania katika vipengele mbalimbali. Mf. Kumiliki aridhi kama wazawa, kuingia nchini na kukaa muda mrefu bila kubughuziwa. Familia zao kuwa na haki ya kurithi hata kama mke au mume sio mzawa wa  Tanzania nk. Sheria hiyo maalum ndio inaitwa Hadhi Maalumu kabla ya kupitishwa na bunge na kusainiwa na Rais. 

*Jessica Kamala-Mushala*
*Katibu, Kamati ya Hadhi Maalum*
*TDC Global*

Email:  hadhimaalum@tdcglobal.org

TDC Tel:  +46 76 564 39 48 *(message only)*
Katibu +1 301 807 4934 *(Message only)*
Naibu +44 785 191 9602 *(Message only)*

31st July 2020

No comments :

Post a Comment