Top Leaderboard Advert

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Zanzibar Diaspora

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, October 20, 2018

KUPATIKANA KWA MO DEWJI KWENYE VIWANJA VYA GYMKHANA!


Jamal Khashoggi's This Interview in Turkey Pushed Saudi Crown Prince MBS...


TANZANIAN BILLIONAIRE (MO DEWJI) RELEASED BY HIS CAPTORS AND TALKS!


Mkuu wa Wilaya awapiga marufuku Chadema kufanya mkutano wao!

Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, mkoani Simiyu, Festo Kiswaga, amepiga marufuku kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendelo (Chadema), unaotarajiwa kufanyika Jumapili Oktoba 21, mwaka huu.

Mkuu huyo wa wilaya amesema ni marufuku kufanyika kwa mkutano huo Bariadi, kwani viongozi wake hawajatoa taarifa kuhusu mkutano huo kwa ajili ya kupewa kibali, lakini pia mkoa huo una ajenda ya maendelo na si siasa.

“Lakini pia, tarehe za kufanyika kwa mkutano huo kama wilaya na mkoa tutakuwa na ugeni mkubwa wa wiki ya maonyesho na Viwanda Vidogo Sido na atakuwepo Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa, hivyo hatutakuwa na uwezo wa kulinda mkutano wao.

ALICHOKISEMA MO DEWJI LEO BAADA YA KUACHIWA!

 

Friday, October 19, 2018

BILIONEA MO DEWJI ALIYETEKWA APATIKANA!!


Habari zilizotufikia hivi punde zinasema Bilionea/Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania, Mohammed Dewji ‘Mo’  aliyetekwa na watu wasiojulikana Oktoba 11,2018 amepatikana akiwa hai.

Mo Dewji amepatikana alfajiri ya leo Jumamosi Oktoba 20, 2018. 

Baba mzazi wa Mo Dewji, Gullam Dewji amesema,"Ni kweli Mo amepatikana, yupo hapa nyumbani."


'Mo' Dewji: Namshukuru Mungu!

http://www.mwananchi.co.tz/habari/-Mo--Dewji--Namshukuru-Mungu-/1597578-4813960-fmbgd6z/index.htmlPOLISI WAOMBWA KUMFIKISHA MAHAKAMANI MTUHUMIWA WA WIZI!


RELIGIOUS RITUAL!


A Nepali Hindu devotee lies in a bed covered by 108 lit oil lamps on the tenth day of Dashain in Bhaktapur on the outskirts of Kathmandu on Friday. Dashain is the longest and the most auspicious festival in the Nepali Hindu calendar and celebrates the triumph of good over evil.

"SERIKALI TUSIKILIZENI KABLA HATUJAFA KWA MAFURIKO" KINA MAMA WATOA YA M...


Saudis Claim Jamal Khashoggi Died During A Physical Altercation!


The missing Saudi journalist and U.S. resident Jamal Khashoggi was killed inside a Saudi consulate in Istanbul, Saudi Arabia admitted in a dead-of-night statement from a prosecutor early Saturday.

Saudi authorities released results from what they claimed was an initial investigation, saying that Khashoggi was killed after a discussion turned into a fight during his visit to the consulate.

In response to their alleged findings, Saudi King Salman has dismissed Major General Ahmed al-Assiri, an adviser to the crown prince. A Saudi prosecutor also announced the arrests of 18 people linked to the death.


JUMUIYA YA JUKWAUPE YATOA MSAADA KWA WAZEE WASIOJIWEZA WA VIJIJI VYA FUMBA NA BWELEO!


Wafanyakazi wa Jumuiya ya kuwasaidia na kuwaenzi wazee wasiojiweza (JUKWAUPE) wakiwa katika Kijiji cha Fumba kwa ajili ya kutoa msaada kwa wazee wasiojiweza wa kijiji hicho
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya kuwasaidia na kuwaenzi wazee wasiojiweza (JUKWAUPE) Khamis Mussa Juma akimkabidhi msaada Mohammed Hassan Shoka.
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya kuwasaidia na kuwaenzi wazee wasiojiweza Khamis Mussa Juma akimkabidhi msaada Fatma Shani Ameir.

LIVING IN AMERICA!


Wakati gani Tanzania inaweza kuomba msaada wa uchunguzi kwa vyombo vya nje?!


Dar es Salaam. Ni wakati gani Tanzania inaweza kuomba usaidizi wa vyombo vya upelelezi vya nje kuchunguza matukio makubwa ya kihalifu ikiwamo ya watu kutekwa, kupotea au ugaidi?

Je, wakati umefika kuwashirikisha wataalamu wa kimataifa kuchunguza kupotea kwa kada wa Chadema, Ben Saanane; mwandishi wa habari, Azory Gwanda; kushambuliwa risasi kwa mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na hivi karibuni kutekwa mfanyabiashara Mohamed Dewji ‘Mo’?


ZITTO : SIRRO!