dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

ZSSF PROJECT AT MBWENI, ZANZIBAR.


PROGRESS OF WORK AT SITE AS OF END OF MARCH, 2016.












PROGRESS OF WORK AT SITE AS OF MARCH 01, 2016













PROGRESS OF WORK AT SITE AS OF FEBRUARY 15, 2016















PROGRESS OF WORK AT SITE AS OF FEBRUARY 03, 2016.

























PROGRESS OF WORK AT SITE AS OF JANUARY 23, 2016.







BALOZI SEIF ALI IDDI AT SITE ON JANUARY 14, 2016.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alitembelea leo mchana mradi wa ujenzi wa nyumba za ZSSF kwaajili ya wananchi na wana-diaspora!

Ujenzi wa nyumba za ZSSF unaendelea vizuri Mbweni

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akitembelea maendeleo ya ujenzi wa mradi wa Nyumba za Mkopo unaotekelezwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar { ZSSF }hapo Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.Wa kwanza kutoka kushoto  ni Msanifu Majengo anayesimamia Mradi huo Bwana Mahsen Mahd  na Waziri wa Fedha Zanzibar Mh. Omar Yussuf Mzee  na kushoto ya Balozi Seif ni Meneja Mipango,Uwekezaji na Utafiti wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar Nd. Khalifa Muumin Hilal  na Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “B” Nd. Ayoub Moh’d Mahmoud.
Balozi Seif akiangalia ramani ya Nyumba zinakavyojengwa akiwa pamoja na Waziri wa Fedha Kushoto yake Mh. Omar Yussuf Mzee, Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar Nd. Abdulwakil Haji Hafidh na Meneja Mipango,Uwekezaji na Utafiti wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar Nd. Khalifa Muumin Hilal.
Muonekano wa Ramani ya mandhari ya nyumba zitakavyokuwa baada ya ujenzi wake.

Baadhi ya Majengo yaGhorofa yatakavyosimama baada ya kukamilika kwa ujenzi wake hapo Mbqweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Baadhi ya Majengo yaGhorofa yatakavyosimama baada ya kukamilika kwa ujenzi wake hapo Mbqweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Harakati za ujenzi kwa hatua ya Msingi { Jamvi } inaendelea kwa kasi hapo Mbweni unaoendeshwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar { ZSSF }.
Wahandisi wa ujenzi wa Nyumba za Mkopo za ZSSF Mbweni wanaonekana wakiwa katika harakati za kusuka nondo kwa ajili ya kumwaga zege kwa hatua ya kukamilisha  Msingi wa Mjengo ya awamu ya kwanza.
Picha na – OMPR – ZNZ.
Na Othman Khamis Ame, OMPR
Harakati za ujenzi wa Nyumba za Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar { ZSSF } zilizoanza Mwezi Septemba mwaka uliopita kwa lengo la kuwakopesha wanachama wake pamoja na wananchi watakaohitaji kununua Nyumba hizo zinaendelea vyema katika eneo la Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.

Wazo la kuanzishwa kwa mradi huo lililobuniwa karibu miaka minne iliyopita lilianza kutoa matumaini ndani ya ziara ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi aliyoifanya katika Jimbo la Seattle Nchini Marekani mwishoni mwa mwaka 2013 alipoambatana na Uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar kwa nia ya kuutangaza mradi huo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar Nd. Abdulwakil Haji Hafidh alieleza hayo wakati akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi aliyefika eneo la Mradi huo kujionea maendeleo ya ujenzi wake.

Nd. Abdulwakil alisema mradi huo utakaokuwa na Mabloki 18 ya Majengo ya Ghorofa Saba zenye Fleti 252 utajengwa kwa awamu tatu tofauti zinazotarajiwa kugharimu jumla ya shilingi Bilioni Arubaini na Sita { 46,000,000,000/- } hadi kukamilika kwake.

Alisema wajenzi wa mradi huo Kampuni ya Dezo Civil Constructionyenye Makao Makuu yake Jijini Dar es salaam wameanza na awamu ya kwanza itakayohusisha Mabloki Matano yenye Nyumba 70 ambapo wahitaji wa nyumba hizo tayari wameanza hatua ya kujitokeza kwa kuwasilisha maombi yao kwa Uongozi wa ZSSF.
Nd. Abdulwakil alimfahamisha Balozi Seif kwamba mipango maalum imeshaandaliwa ya jinsi nyumba hizo zitakavyotoa huduma ambapo alisema zipo zikakazouziwa wanachama na wateja moja kwa moja, nyengine zitakodishwa kwa wateja ambao baadaye watakuwa na uwezo wa kuzinunua.

Alisema utaratibu mwengine utaandaliwa ili kuwapa fursa wanachama wa mfuko wa hifadhi ya jamii wenye kipato kidogo kukopeshwa nyumba hizo kupitia udhamini wa Benki ya Watu wa Zanzibar { PBZ } ambapo mteja anaweza kutumia kiinua mgongo chake kwa kulipia nyumba atakayoihitaji.

“ Ujenzi wetu tumeupanga kuutekeleza kwa awamu tatu ambapo awamu ya kwanza tutajenga Bloki Tano, ile ya Pili pia tutajenga Bloki Tano na ya mwisho tutamalizia kwa Bloki Nane “. Alisema Mkurugenzi huyo wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar.

Naye Meneja Mipango,Uwekezaji na Utafiti wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar Nd. Khalifa Muumin Hilal alisema huduma zote zinazohitajika kuzipata mwanaadamu zitawekwa kwenye majengo hayo ili kumuondoshea usumbufu Mwanachama wao.

Nd. Muumin alisema Majengo hayo yatajumuisha Maduka ya bidhaa mbali mbali, sehemu za burdani ya watoto wa familia zitakazoishi sehemu hiyo pamoja na eneo maalum litakalotengwa kwa ajili ya maegesho ya vyombo vya moto sambamba na eneo la michezo tofauti.

Alisema ukumbi wa Kisasa utakaokuwa na uwezo wa kuhudumia watu mia 500 kwa wakati mmoja pia utajengwa katika eneo hilo ili utoe huduma kwa Taasisi na mashirika mbali mbali yatakayohitaji ukumbi kwa ajili ya Mikutano yao ya Kitaifa ama Kimataifa .

Kwa upande wake Msanifu Majengo anayesimamia Mradi huo Bwana Mahsen Mahd alifafanua kwamba ujenzi wa majengo hayo unazingatia taratibu zilizowekwa kwa mujibu wa sheria ikiwemo kuwashirikisha wataalamu wa Taasisi za ujenzi pamoja na watendaji wa Baraza la Manispaa.

Bwana Mahd alisema usanifu wa majengo yote yatakayojengwa katika eneo hilo utakwenda sambamba na vigezo vinavyokubalika na kutumiwa katika majengo ya Kimataifa.

Akielezea matumaini yake kutokana na hatua nzuri ya maendeleo ya mradi huo wa Nyumba Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi aliushauri Uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar kuhakikisha kwamba viwango vya nyumba zinazojengwa vinakuwa na fursa pana ya kuwafaidisha wanachama wa Mfuko huo wenye Vipato tofauti.

Balozi Seif alisema hatua hiyo itasaidia kuleta faraja kwa wanachama wa ngazi zote watakaokuwa na nia ya kutaka kununua, kukodi au kukopeshwa nyumba hizo kwa mujibu wa uwezo aliokuwa nao muhusika.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar aliupongeza Uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar kwa uamuzi uliochukuwa wa kuwekeza katika miradi ya Jamii ambayo itasaidia kustawisha maisha ya kila siku ya wananchi.

PROGRESS OF WORK AT SITE AS OF JANUARY 14, 2016.
 Foundation (raft) already poured for some of the blocks and steel works for reinforced walls and columns are in progress.


 For other blocks, steel for foundation already placed and pouring of the raft foundation to follow immediately.


  


For other blocks, preparation for foundation work is in progress.


PROGRESS OF WORK AT SITE AS OF JANUARY 04, 2016.

Vyuma vinatandikwa kwaajili ya Raft Foundation.






     

PROGRESS OF WORK AT SITE AS OF DECEMBER 21, 2015.




PROJECT IS UP FOR GRABS! DECEMBER 15, 2015.


Image result for BREAKING NEWS
The Housing Project at Mbweni by ZSSF (Zanzibar Social Security Fund) is now up for grabs. Currently the contractor is on site. Expectations are, after 1 year , the first 5 blocks comprising of 70 apartment will be ready.

Prices are:
Two bedroom apartment - USD 84,410
Three bedroom apartment- USD 95,420
Four  bedroom apartment- USD 124,780
For rent to own  for 15 years, customers are expected to pay USD 668 per month,USD 755per month and USD 987 per month to own an apartment.

There will be a down payment of 15% of apartment price. The application forms are sold for USD 25.
The apartments are highly demanded.
The apartments are sold under first come, first served.
For  further assistance, please contact ZACADIA (Toronto, Canada) at1.647.404.8618 or <info@zacadia.com>

You can also contact ZSSF directly at the contact details given below.


(TOGETHER BUILDING THE FUTURE!)

4 comments :

  1. To know about Happy Hump Day Wednesday Click Here

    ReplyDelete
  2. I’m Really Impressed With Your Article, Such Great & Usefull Knowledge You Mentioned Here

    MOBDRO APP

    ReplyDelete
  3. You blacks are a blight on society. Your race has neither invented nor achieved anything of merit. You sub-70-IQ animals invade other nations because you cannot build or maintain your own. You appropriate and lay claim to others' achievements while hiding behind a narrative of victimhood and oppression. You bring nothing but violence, disease, and degeneracy wherever you go.

    George Floyd was a prime example of a low-IQ waste of space who was granted martyr status by a society that has foolishly bowed to your petulant need to blame others for your own failures.

    ReplyDelete