dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, February 27, 2013

DAWASCO: WHAT THE HELL ARE YOU DOING???

 
YALISEMWA ZAMANI NA MWALIMU NYERERE KUWA UBEPARI NI UNYAMA NA KUWA THE VERY NATURE OF CAPITALISM IS CRUDE, BARBARIC AND ANTI-PEOPLE! LEO NDIO TUNAIABUDIA SIASA HII HII YA KINYAMA. HATUSEMI KUWA MWIZI AACHIWE AU KUWA NI SAWA KUIIBIA DAWASCO, LAKINI TUNASEMA KWA SAUTI KALI KUWA UBEPARI NI UNYAMA AND MWALIMU WAS RIGHT!!!

PIA, TUNASEMA KUWA HUYU ANAEIBA MAJI SIO MWIZI. MWIZI WA DAWASCO NI YULE ALIETOROSHA MABILIONI YA HELA ZETU ZA KIGENI NA AKAZIWEKA SWITZERLAND - HUYU NDIO MWIZI. HUYU NDIO ANAETUIBIA MAJI NA KILA KITU KATIKA NCHI HII NA SIO HUYU MAMA MNAEMUONEA BURE TU!

KAMA KWELI MNAWAKAMATA WANAOTUIBIA BASI KAWAKAMATENI HAO WALIOFICHA HELA ZETU HUKO SWITZERLAND!!!

ANAONEWA YULE ANAEKWIBA MAJI, LAKINI YULE ANAEKWIBA FOREIGN EXCHANGE NA ANAEPOKEA COMMISSION HATA HAULIZWI KITU!!!

WENGI KATIKA NCHI HII NI WEZI NA WENGINE WAMEJIFICHA HUMO HUMO NDANI YA DAWASCO, LAKINI HAWAGUSWI NA ANAGUSWA YULE MWIZI WA MAJI,  HAYA YANAMWISHO!!!


Hivyo tunafanya haya ya kuwadhalilisha watu wetu kwasababu Mwalimu Nyerere hatunae leo? Baba yetu Mwalimu hayupo, hivyo hatuna tena wakutusaidia mayatima sisi wa hali za chini? Hivyo siku za Mwalimu Nyerere wakubwa wangelitoa amri kama hizi bila ya kujiuliza masuala tele wao wenyewe? Miaka 50 baada ya Uhuru na maji bado ni shida kwa wananchi wetu, hivyo hatuoni vibaya wala haya???"

DAWASCO ACHENI UNYAMA HUU WA KUWADHALILISHA BINAADAMU WENZETU KAMA WANYAMA. KAMA MNATAKA KUWAKAMATA WEZI WA NCHI HII BASI NENDENI SWITZERLAND NA SIO TANDALE!!!

*******
 maafisa wa Dawasco wakimtoa mama huyu nyumbani kwake na kumpeleka katika gari la polisi leo 
 
 Mwanamke aliyetuhumiwa kuwa ni mwizi wa maji yanayosambazwa na kampuni ya Maji Safi na maji Taka  ( DAWSACO), akikamatwa eneo la Tandale jijini Dar es salaam leo wakati wa  Kampeni ya kampuni ya  DAWASCO iliyozinduliwa leo katika kupambana na watu wanaojiunganishia maji kwa wizi na kuwasambazia wateja  zake iliyoandaliwa katika mikoa ya Dar es salaam na Pwani  kwa lengo la kuthibiti wizi wa asilimia 30 wa maji yanayopotea  bila ya kuwafikia wateja wake

Maama huyu anaedaiwa kwa tuhuma za wizi wa maji ya dawasco kutoboa bomba kubwa na kujaza katika tanki amelala chini akidai amezimia leo akiofia kwenda polisi.

Chanzo: Vijimambo

No comments :

Post a Comment