Written by Maryam // 13/02/2013
Inna lillahi wa inna ilaihi rajiun!
Kwa taarifa za kuthibitika hii leo zinaeleza kuwa sheikh Nassor Bachu amefariki hii leo. Sheikh alikuwa mgonjwa kwa muda mrefu na hivi karibuni alipelekwa India kwa matibabu lakini hali yake haikuwa na afueni yoyote.
MOLA AMLAZE MAHALA PEMA PEPONI.
Chanzo: Mzalendo
No comments :
Post a Comment