dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, February 17, 2013

ZANZIBAR: Pardi Muchi apigwa risasi na kufariki

Padri wa Kanisa Katoliki, Evaristus Mushi amefariki dunia baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana wakati akiegesha gari kando na Kanisa la Mtoni alipokwenda kusalisha katika kanisa hilo leo asubuhi. Matukio haya ya kihalifu yanavyozidi kuendelea kutokea ni jambo la kusikitisha sana kwa Zanziba

Chanzo: ZanzibariYetu

1 comment :

  1. It is too sad, even if those who do it claim to have done it in the name of religion; I do not believe it because there is no God who love violence. any way you do it and kill, as you have done but remember you will also die at a certain time. What do u benefit?

    ReplyDelete