Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, August 10, 2013

Idd el Fitr ilivyosherehekewa Chakechake Pemba

 Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Mbarouk mwenye jaketi, akiamuondosha kijana anaedaiwa kuiba polo la mkaa, ambapo mwenyewe amekana kutokuiba polo hilo, katika maeneo ya Machomanne jana mchana, na kusababisha ugomvi baina ya vijana wawili hao

 Watoto mbali mbali wamekuwa na tabia ya kununua vitu vya kuchezea, ama Toizi kila ifikapo siku ya Skukuu, kama wanavyoonekana katika picha wakimzonga muuza wa toizi, katika maeneo ya Machomanne chake chake Pemba aliyefahamika kwa jina la Chadi jana jioni

 Kufuatia kuharibika na kutaka kujengwa, kwa kiwanja cha kufurahishia watoto Tibirinzi Pemba, watoto mbali mbali wamekuwa wakijumuika katika kiwanja cha Tensi chake Chake, kwa kuangalia michezo na mbashindano mbali mbali ya kiislamu, yanayoandaliwa na Jumuiya ya Istiqama Pemba, kama wanavyoonekana katika Picha

 Kufuatia kuharibika na kutaka kujengwa, kwa kiwanja cha kufurahishia watoto Tibirinzi Pemba, watoto mbali mbali wamekuwa wakijumuika katika kiwanja cha Tensi chake Chake, kwa kuangalia michezo na mashindano mbali mbali ya kiislamu, yanayoandaliwa na Jumuiya ya Istiqama Pemba, kama wanavyoonekana katika Picha

 Kufuatia kuharibika na kutaka kujengwa, kwa kiwanja cha kufurahishia watoto Tibirinzi Pemba, watoto mbali mbali wamekuwa wakijumuika katika kiwanja cha Tensi chake Chake, kwa kuangalia michezo na mbashindano mbali mbali ya kiislamu, yanayoandaliwa na Jumuiya ya Istiqama Pemba, kama wanavyoonekana katika Picha

Vijana wa kikundi cha sarakasi cha kikosi cha Skauti chake chake Pemba, wakionesha umahiri wao wa sarakari katika sherehe za skukuu ya Edd ll fitri, huko katika kiwanja cha Tenisi chake chake jana. (Picha na Abdi Suleiman, Pemba)

Chanzo: ZanziNews

No comments :

Post a Comment