Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, August 1, 2013

MENO YA TEMBO!

Baadhi ya maofisa mkoani Pwani, wakiangalia meno ya tembo yanayodaiwa kukutwa na watu tisa wakiwamo askari wawili wa Kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam jumapili iliyopita katika kizuizi cha Polisi kilichopo kijiji cha Kauzeni Wilaya Kisarawe mkoani Pwani.

No comments :

Post a Comment