dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, October 15, 2014

Mbunge wa Kikwajuni Atembelea Mradi wa Maji Jimboni


 Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar Mhe.Hamad Yussuf Masauni, akizungumza na mafundi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar wakiwa katika harakati za kuunga mabomba ya maji kwa ajili ya Mradi Mkubwa wa maji kwa jimbo la kikwajuni unaokaribia tamati ya mradi huo kqwa kuweka maboimba hayo tayari kiasi kikubwa yameshawekwa na sasa wanamalizia kilimani mnara wa mbao kuunganisha katika tangi jipya lililofungwa katika mnara huu kwa ajili ya kusambaza Maji kwa wananchi wa kikwajuni na jirani zao.
Mbunge wa Kikwajuni na Wananchi wa jimbo hilo wakishiriki katika zoezi la kuweka mabomba kwa ajili ya kutolea huduma hiyo kupandisha katika tenki la mnara wa mbao kilimani na kusabazwa kwa wananchi wa jimbo la kikwajuni na jirani zao.
 Mafundi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) wakiunganisha bomba la maji kwa kutumia mashine maalum.
Mbunge wa Kikwajuni Mhe. Hamad Yussuf Masauni akiwa na mafundi wa ZAWA wakiunganisha mabomba ya maji kwa ajili ya kumalizia Mradi wa kusambaza maji safi na salama kwa jimbo lake wakiwa katika maeneio ya kilimani mnara wa mbao baada ya kutandika bomba kutoka katika kisima kipya kilichochimbwa kaburi kikombe ili kutowa huduma ya maji kwa Wananchi wa Kikwajuni, Kilimani na maeneo jirani. 

No comments :

Post a Comment