dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, November 10, 2014

Taarab Rasmi kuadhimisha miaka minne ya Uongozi wa Dk Shein

1aRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akiwa na Viongozi wengine katika  Tamasha maalum la taarab ya kusherehekea miaka minne (4) ya ushindi wa CCM katika  Ukumbi wa Salama Hall Bwawani jana.
[Picha na Ikulu.] 

2aViongozi mbali mbali  waliohudhuria katika Tamasha maalum la taarab ya kusherehekea miaka minne (4) ya ushindi wa CCM katika  Ukumbi wa Salama Hall Bwawani jana wakifuatilia kwa makini wakati vikundi mbali mbali vikiburudisha .
[Picha na Ikulu.] 

 4aMke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (kutoka kushoto) Mama Pili Balozi na Mama Asha Suleiman Iddi wake wa Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi wakiwa katika Tamasha maalum la taarab ya kusherehekea miaka minne (4) ya ushindi wa CCM katika  Ukumbi wa Salama Hall Bwawani jana wakifuatilia kwa makini wakati vikundi mbali mbali vikiburudisha .
[Picha na Ikulu.] 

5aMwimbaji wa kikundi cha Zanzibar One Rukia Moriss alipoburidisha kwa wimbo “Achekwe hana stara”wakati wakati wa Tamasha maalum la taarab ya kusherehekea miaka minne (4) ya ushindi wa CCM na kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, katika  Ukumbi wa Salama Hall Bwawani jana. 
[Picha na Ikulu.]

7aRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai wakiteta jambo wakati wa Tamasha maalum la taarab ya kusherehekea miaka minne (4) ya ushindi wa CCM katika  Ukumbi wa Salama Hall Bwawani jana wakifuatilia kwa makini wakati vikundi mbali mbali vikiburudisha .[Picha na Ikulu.]

8a 9aWaimbaji wa Kikundi cha Zanzibar Modern Taarab Khadija Khamis na Marium Juma wakiimba wimbo wa  Pika Dk.Shein BigUp wakati wa Tamasha maalum la taarab ya kusherehekea miaka minne (4) ya ushindi wa CCM na kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, katika  Ukumbi wa Salama Hall Bwawani jana [Picha na Ikulu.]

10a  Mwimbaji wa kikundi cha Zanzibar Moden Taarab Zuhura Shaaban  alipoburidisha kwa wimbo “Binadamu hawana wema wala hawana shukurani”wakati wakati wa Tamasha maalum la taarab ya kusherehekea miaka minne (4) ya ushindi wa CCM na kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, katika  Ukumbi wa Salama Hall Bwawani jana
 [Picha na Ikulu.]

11aRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakifuatana pamoja baada ya kumalizika kwa hafla ya Sherehe ya kumpongeza Rais kwa kutimiza miaka minne ya Uongozi wake na Ushindi wa CCM katika  Ukumbi wa Salama Hall Bwawani jana 
[Picha na Ikulu.] 

12aRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein walipokuwa wakiagana Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif ali Iddi baada ya kumaliza sherehe za Taarab rasmi ya Ushindi wa CCM na miaka minne ya Uongozi waDk.Shein katika Serikali ya Muundi wenye umoja wa Kitaifa katika  Ukumbi wa Salama Hall Bwawani jana. 
[Picha na Ikulu.]

13aMke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akiagana na Mke wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi  baada ya kumaliza sherehe za Taarab rasmi ya Ushindi wa CCM na miaka mine ya Uongozi  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein katika  Ukumbi wa Salama Hall Bwawani jana 
[Picha na Ikulu.]

No comments :

Post a Comment