dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, May 23, 2015

THE BEAUTIFICATION WORK OF THE FORODHANI SEAFRONT HAS STARTED!

Maandalizi ya ujenzi wa ukuta wa bahari katika eneo la  Forodhani umeanza kwa  hatua ya mwazo ya kuweka uzio wa mabati kupisha ujenzi huo kama inavyoonekana pichani juu katika eneo hilo likiwa tayari limezungushwa mabati kwa hatua za ujenzi wake.
Kazi ikimalizika Forodhani Seafront itakuwa kama hapa chini!
(Picha by ZanziNews)


Hii ni Forodhani by night - Yasikutoke mate bure - Summer ndio hii, funga safari uje nyumbani kutembea!

No comments :

Post a Comment