dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, July 25, 2015

Madaktari Diaspora kutoka Marekani wakitowa Huduma ya Elimu kwa Wanafunzi wa Chuo cha Eilimu ya Afya Chukwani na Hospitali ya Mnazi Mmoja Kuhusiana na Saratani ya Matiti na Meno Wakiwa Zanzibar!




























Madaktari kutoka Washington Diaspora Walioletwa na Jumuiya ya Watanzania Washington Watoa Huduma ya Afya Hospitali ya Mnazi Mmoja

Dr Nawfal akizungumza na Ujumbe wa Madaktari kutoka Washington Diaspora walipofika katika Hospitali ya Mnazi Mmoja kutoa huduma ya Maradhi ya Saratani ya Matiti, Kisukari na Tiba ya Meno ukiwa na Ujumbe wa Watu 17, Wamefika Ofisi hapo kujitambulisha kwa Uongozi wa hospitali 
Dr Nawfal akizungumza na Madaktari hao walipofika Ofisini kujitambulisha wakiwa na wenyeji wao Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa wa Diaspora Zanzibar Ukiongozwa na Mkurugezi wa Idara hiyo Ndg Adila 
Ujumbe wa Madaktari Madiaspora wakimsikiliza Dr Nawfali walipofika Ofisini kwakwe kujitambulisha na kwa ajili ya kutoa huduma kwa Wagonjwa waliofika hospitalini hapo kupata tiba.


Kiongozi wa Jumuiya ya Watanzania Washington  Diaspora Asha Nyanganyi akiztowa maelezo ya Ujumbe huo kwa Dr Nawfal wakati walipofika Ofisini kwake Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja leo asubuhi kwa kutoa huduma za Meno, Kisukari kutoa dawa kwa wagonjwa na kutowa elimu ya Saratani ya Matiti kwa Wanawake Zanzibar 
Madaktari Diaspora kutoka Washington wakiwa katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Hospitali hiyo kujitambulisha kabla ya kuaza kutoa huduma kwa wagonjwa.  







/ZanziNews.

No comments :

Post a Comment