dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, October 24, 2015

Dk Shein alivyopokelewa jana alipowasili kutoka Pemba!

  Baadhi ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi waliofika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid AmaniKarume wakicheza wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipowasili Uwanjani hapo akitokea Kisiwani Pemba kwa ajili kufunga Kampeni za CCM jana,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema Shein akiwapungia mkono wananchi wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo akitokea Kisiwani Pemba kwa ajili kufunga Kampeni za CCM jana,[Picha na Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakiwasalimia wananchi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM waliofika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo kuwapokea Viongozi hao wakitokea Kisiwani Pemba kwa ajili kufunga Kampeni za CCM jana,[Picha na Ikulu.]

No comments :

Post a Comment