dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, November 21, 2015

MAAJABU YA MAGUFULI!

Muhimbili vitanda vinashushwa na kufungwa leo leo, ni vitanda 500 na magodoro 500.


Kufuatia agizo alilotoa rais Dkt Magufuli kwa Spika wa Bunge kutumia pesa iliyo changwa kwa ajili ya Cocktail party kununua vitanda katika hospitali ya rufaa ya Muhimbili. Agizo hilo limetekelezwa mara moja baada ya vitanda zaidi ya 500 kununuliwa na kuwasilishwa Muhimbili.
Kwa maelezo niliyoyapata kutoka kwa wahusika ni kwamba wanatarajia kununua vitanda vingine zaidi wiki hii na kuvipeleka kwenye hospitali za wilaya ili vikasaidie wagonjwa katika hospitali hizo na kupunguza changamoto ya wagonjwa kulala chini. Picha hizi hapa chini zikionyesha vitanda hivyo vikiwasili katika moja ya kalakana za MSD.





Click image for larger version. 

Name: IMG-20151121-WA0008.jpg 
Views: 382 
Size: 144.0 KB 
ID: 306832

Click image for larger version. 

Name: IMG-20151121-WA0005.jpg 
Views: 404 
Size: 136.2 KB 
ID: 306833

Click image for larger version. 

Name: IMG-20151121-WA0006.jpg 
Views: 373 
Size: 124.6 KB 
ID: 306834

Click image for larger version. 

Name: IMG-20151121-WA0007.jpg 
Views: 370 
Size: 157.5 KB 
ID: 306835

No comments :

Post a Comment