dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, October 18, 2016

Rais Dk Shein azungumza na uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira!

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiongoza kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2017-2017 cha Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira katika  utekelezaji wa  robo mwaka ya kwanza ya  Julai-Septemba kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
[Picha na Ikulu.] 17/10 /2016.

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiongoza kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2017-2017 cha Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira katika  utekelezaji wa  robo mwaka ya kwanza ya  Julai-Septemba kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
[Picha na Ikulu.] 17/10 /2016.
 Baadhi ya Viongozi wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira wakiwa katika kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2017-2017 katika  utekelezaji wa  robo mwaka ya kwanza ya  Julai-Septemba kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 17/10 /2016.
 Baadhi ya Viongozi wa   Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira wakiwa katika kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2017-2017 katika  utekelezaji wa  robo mwaka ya kwanza ya  Julai-Septemba kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
[Picha na Ikulu.] 17/10 /2016.
Baadhi ya Maafisa wa Idara mbali mbali katika  Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira wakiwa katika kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2017-2017 katika  utekelezaji wa  robo mwaka ya kwanza ya  Julai-Septemba kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.] 17/10 /2016.

No comments :

Post a Comment